8Mungu asema: “Nitakufunza
na kukuonesha njia unayopaswa kufuata.
Nitakushauri kwa uangalifu mkubwa.
Neno La Leo;Zaburi:32:8-11
9Usiwe mpumbavu kama farasi au nyumbu,
ambao lazima wafungwe lijamu na hatamu,
la sivyo hawatakukaribia.”
10Watu waovu watapata mateso mengi,
bali wanaomtumainia Mwenyezi-Mungu wazungukwa na fadhili zake.
11Furahini na kushangilia kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu;
pigeni vigelegele vya shangwe enyi wanyofu wa moyo.
Bible Society of Tanzania
Bible Society of Tanzania
"Swahili Na Waswahili"Muwe na wakati mwema.
2 comments:
Naaminisijachelewa kumtakia mwangangu Tracey-Saraha kwa kutimiza miaka. HONGERA SANA NA MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKULINDA. PIA HONGERA WAZAZI/WALEZI.
Ameen Ameen!!!!!!!Asante sana ma'Mkubwa
Post a Comment