TAARIFA YA MSIBA: JACQUELINE OSWALD KAPINGA WA SINZA AFARIKI
MAREHEMU JACKLINE OSWALD KAPINGAFamilia ya Marehemu Mzee Oswald Kapinga ya Sinza - Dar e salaam (karibu na white inn) inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Jacqueline kilichotokea jana tarehe 29/05/2016 katika hospitali ya muhimbili jijini Dar es salaam.Familia inapenda kuwajulisha ndugu, jamaa na marafiki ya kuwa, msiba utakuwa nyumbani kwa wazazi wake hapo sinza.Taratibu za mazishi zinaendelea kufanyika, taarifa ya awali kutoka kwa familia, Marehemu wanategemea kumuhifadhi kwenye nyumba yake ya milele siku ya kesho (Jumanne) ya Tarehe 31/05/2016 katika makaburi ya sinza karibu na Ukumbi wa mwika kuanzia saa 8.00 Mchana.Kwa taarifa zaidi na maelekezo mbali mbali unaweza kuwasiliana na makaka wa marehemu hapo chini:JOSEPH O. KAPINGA (Mwananchi communication) - 0788617654GOSBERT O. KAPINGA - 0754286301BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,JINA LAKE LIHIMIDIWEAMEN.
Monday, 30 May 2016
TAARIFA YA MSIBA: JACQUELINE OSWALD KAPINGA WA SINZA AFARIKI
Labels:
Msiba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment