Wapendwa/Waungwana nawatakia maandalizi mema ya Pasaka... Ikawe yenye kheri na Amani,Furaha na Upendo. |
Mpendwa nini umepanga Pasaka hii? Kula na wapendwa Ndugu,Jamaa,Marafiki,Wazee,Wasiojiweza? au Utakuwa wapi?
Mimi baada ya Ibada nitakuwa Kazini ikimpendeza Mungu..!! Muwe na wakati mwema.. Nawapenda. |
"Swahili Na Waswahili"Mbarikiwe.
No comments:
Post a Comment