Hamjambo wapendwa/waungwana,vipi hapo ulipo hali ya hewa ikoje? Hapa tulipo kwa sasa Baridi imeanza na majira ya Joto yamekwisha, hasa sisi wa kuja Makoti yana tuhusu sasa.. Tunamshukuru Mungu tulikuwa na wakati mzuri wa majira ya Joto[Summer] Tunategemea kuwa na wakati mzuri pia kwa kipindi cha baridi[Winter]kama itakavyo mpendeza Mungu.. Je wewe ulikuwa na wakati mzuri? Mungu akubariki na uwe na wakati mzuri huu na ujao..
|
No comments:
Post a Comment