Habari zenu wapendwa/waungwana,Nimatuini yangu mpo vyema..
Leo tuongelee matumizi ya Perfume/manukato/Mafuta mazuri vile wewe unavyoita..
Wewe mpendwa unapenda manukato? jee ipi Perfume unayoipenda sana
au aina gani ya perfume unatumia?
Lini ulianza kutumia haya mafuta mazuri/manukato?
Unasababu za msingi za kutumia au mapenzi tuu?
Unatumiaje manukato haya?
unapulizia kwenye mwili,Nguo na kama mwilini ni sehemu zipi?
Wakati gani unatumia?wakati wote au unapotoka tuu
Unajisikiaje ukitumia manukato na usipotumia jee?
Matumizi ya manukato yanaweza kuwa ulevi kwa mtu/mtejaa?
Umri gani unafaa mtu kuanza kutumia manukato?
Nitatoa zawadi kwa akataye elezea/jibu vizuri
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Sana.
1 comment:
Very nice blog post. I certainly appreciate this site.
Keep it up!
Post a Comment