Hamjambo wapendwa/waungwana? ni "Jiko leo" tunakula Pweza.... Unawajuwa Pweza? unawapenda jee unawapikaje?unakula na nini? Mimi nawapenda sana tena kule nyumbani huwa nakula wale wa mtaani... sijawahi kula kwa mapishi mengine zaidi ya kukaanga.. Nasiki Pweza ni dawa eti kwa Wanaume jee ni kweli? Karibu uonje kama hujawahi kula na kama wawajua endelea kupata utamu...!! |
No comments:
Post a Comment