Habari za asubuhi wapendwa/waungwana..? Jumamosi inaendaje hapo ulipo? Umepanga nini/utafanya nini?Ni cha tofauti au ni utaratibu wako wa kawaida? Hapa kwetu ni likizo shule zimefungwa,natumaini wazazi/walezi wengi nao wapo likizo najua wengi wanapenda kuwa likizo nao kipindi hiki ili kwenda sawa na familia.. Basi kama upoupo na una nafasi usiitumie vibaya hiyo nafasi kwani hairudi tena siku ikienda imekwenda..!
Ok nisiwachoshe kwa maneno ni "Jikoni Leo"Uji wa Mchele... Unaupenda uji huu?umeshawahi kuuonja? jee wewe unaupikaje? Karibu tupeane ujuzi.... |
No comments:
Post a Comment