Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 14 April 2018

Wanawake na Urembo,Kucha..

Habari za Jumamosi wapendwa//waungwana..?
weekend yako inakwendaje ?
Jumamosi hii umeamua kufanya nini tofauti?
Na kila jumamosi utaratibu wako ukoje?
Ni kufanya usafi mkubwa wa nyumba?
Kufanya usafi wa nywele,kucha,nyusi au?
najua usafi wa mwili na hivyo vyote ni vya kawaida lakini kuna
vile vya kuongezea na si lazima....

Mimi leo nimekuletea usafi na urembo wa kucha
Jee wewe ni mpenzi wa kuweka kucha bandia?
Jee kama ndiyo huwa unaziacha/kubadili baada ya muda gani?
usipo fanya hivyo unajisikiaje ?
kazi yako inaruhusu uwe na kucha ndefu au kucha za bandia?
jee kama ndiyo vipi ukipata kazi isiyoruhusu urembo huu?
Asanteni karibuni tena.....

"Swahili Na Waswahili"Pamoja Sana.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante nawe kachiki wangu...mie jumamosi yangu kajua kalijitokeza kwa hiyo nilikuwa na usafi wa mazingira....kuhusu kucha kazi niliyonayo hairuhusu kuwa na kucha ndefu wala kupaka rangi:-)

Rachel Siwa said...

Kadala maandalizi ya shamba bado?
ok wewe endelea na urembo mwingine,itabidi tupange Mungu akitubariki wakati mwingine
tukafanye kazi za kijitolea kidogo nyumbani....