Ingawa alichapisha vitabu vitatu tu Mohammed S Mohammed yumo ndani ya kundi la wanafasihi majabali - Shaaban Robert, Adam Shafi, Said Ahmed Mohammed, Euphrase Kezilahabi, nk.
Baada ya zaidi ya miaka 40 vitabu vyake vipya vimetolewa upya na shirika la uchapishaji vitabu Nairobi, Sasa Sema
Vitabu hivi ni Kiu, Nyota ya Rehema na Kicheko cha Ushindi ...
No comments:
Post a Comment