Ratiba ya chakula ya watoto Waswahili wakati huu Wa Shule Ya Nyumbani
:8:30-Uji;wa-Mchele,wa-Dona,wa-urezi,wa-Muhogo n.k.
:10:30-CHai/juisi; na-Mihogo,Viazi,Chapati,maandazi, Vitumbua n.k.
:1:00-Ugali/wali,Ndizi/viazi,Makande n.k
Mboga;Nyama/kuku/samaki,Maharage/kunde/mbaazi,
Mboga za majani,bamia/mrenda n.k
:4:00-Chai/juisi/maji;na kachori,visheti,katlesi, Keki,Bagia/badia/bajia ๐คท๐ฝ♀️za dengu/kunde n.k
:6:00-Wali,Tambi,chipsi(zege)n.k
: Chakula cha mchana kama kimebaki kinaweza kuliwa ..
:Matunda wakati wowote ๐(Desert)upendavyo ๐ฎ๐ง
:Jumamosi/jumapili,wajiachie tuu wanavyopenda -๐๐ญ๐ฎ
:Kutupa chakula ni mwiko ..
:Ratiba ya chakula kipindi hiki watoto wapo nyumbani
:Tujaribu kuwalisha kama waswahili ๐คฃkama itawezekana ๐ค
:
:
:Nimatumaini yangu wakirudi shule watakuwa wenye nguvu na Afya Njema ๐ช๐ฝ๐๐พ...
:Mzazi/Mlezi;unaweza kuongeza/kupunguza na kusahihisha nilipokosea.
:Pia unaweza kuandaa ya kwako ili tupate kujifunza zaidi
:Unaweza kunitumia kwa :E-mail;rasca@hotmail.co.uk
:
:
: Angalizo;mimi si mtaalamu wa Chakula na Lishe..
Unaweza kufanya utafiti zaidi
Kulingana na afya ya mtoto wako ๐๐ฝ

Imeandikwa na Rachel siwa ๐๐ฝ❤️
Asanteni.
|
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Sana.
No comments:
Post a Comment