Jikoni Leo;Mboga za Kula na Ugali
;4Kuku
;Chukuchuku
;Nimeunga kutumia;
Nyanya,situmii za kopo,na huwa simpenzi sana wa kuzisaga labda niwe na haraka sana,Namenya (kizamaniπ€£)
;kitunguu maji-cheupe,
;Kitunguu swaum sijui thoum ππ½
Tangawizi,hivi nanunua nakusaga nyumbani π€
;karoti
;hoho za rangi zote
;chumvi/maggi
Ndimu/Limau
;Roiko/Simba mbili-siyo lazimaa
;pilipili mbuzi natupia karibu na mwisho
;Kuku Wagumu
Kuunga;
Unaweza kuweka Nazi/Mafuta
Mimi nimechemsha tuu(chukuchuku)
;Nimeosha
;Nikachemsha kwa chumvi/maggi,ndimu/limau
;Kitunguu swaumu/thoum
;Tangawizi
;Pilipili mtama/manga[blacpepper]...kwanza
Baadae nikaweka maji kidogo
karibu na kuiva,maji yamebaki kiasi
nikaweka viungo vyote,vikaiva pamoja na mchuzi ukabaki kiasi....
Hayaaaah kazi kwenu mnaweza kuongezea ujuzi nilipokosea
;siyo mpenzi wa viungooo vingii kama unapenda wewe Rukhsa ππ½
Jikoni leo;Mboga 10 za kula na Ugali π
:
:Ugali una mboga zake jee wewe
Unapenda mboga zipi kula na Ugali?
:Mimi nitaweka hapa ninazo Zipenda na zinazo patikana hapa tulipo π
: ππ½πΉπΏ Kitchen today
#mboga10
Jikoni Leo π©πΎπ³
:#chakula#kupikaπ©πΎπ³π₯
#kitchentoday
#inmykitchentoday
#jikonileo
#mboga
#Ugali
#mapishi
#mpishi
#veggies
#chicken
#kuku
#cooking#food#foodie#foodblogger#tanzanianfood#tanzaniaπΉπΏ #eastafrica#bbcfood#cnnfoodπ
#Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahiliπΉπΏ#Rachelsiwa
No comments:
Post a Comment