Jikoni Leo;Mboga za Kula na Ugali
9;Nyamna
;yakuokwa/choma/kukaanga/kuchemsha..
;Nimeunga kutumia;
Nyanya,situmii za kopo,na huwa simpenzi sana wa kuzisaga labda niwe na haraka sana,Namenya (kizamani๐คฃ)
;kitunguu maji-cheupe,
;Kitunguu swaum sijui thoum ๐๐ฝ
Tangawizi,hivi nanunua nakusaga nyumbani ๐ค
;karoti
;hoho za rangi zote
;chumvi/maggi
Ndimu/Limau
;Roiko/Simba mbili-siyo lazimaa
;pilipili mbuzi natupia karibu na mwisho
;Kupika/
Kuunga;
Nyama nyekundu /unaweza tumia yoyote..
;NyamaNimeosha
;Nikachemsha kwa chumvi/maggi,ndimu/limau
;Kitunguu swaumu/thoum
;Tangawizi
;Pilipili mtama/manga[blacpepper]...kwanza
Baada ya
Maji ya kuoshea kukauka
nikaongeza maji kidogo (inategemea na ugumu wa nyama)
Yalivyokauka nikaendelea kukaanga na
Mafuta yake mpaka ikawa kavu..
nikakarangiza viungo kwa mafuta kidogo..
;Nikaweka Nyama nikakaanga na viungo..
;Nyanya nikaweka mwisho..
;Kabla sijaokoa nikaweka tomato souse(ketchup)kidogooo
;Unaweza kuweka chill souse(ile ya Tanzania nikiwanayo huwa naweka hiyo)
;Unaweza kuweka tomato pure..
;Kabla sijaokoa nikatupia pilipili..
;Unaweza weka kabichi(Cabbege)
Mkono mmoja isiive sana ๐..
Hayaaaah kazi kwenu mnaweza kuongezea ujuzi nilipokosea
;siyo mpenzi wa viungooo vingii kama unapenda wewe Rukhsa ๐๐ฝ
Jikoni leo;Mboga 10 za kula na Ugali ๐
:
:Ugali una mboga zake jee wewe
Unapenda mboga zipi kula na Ugali?
:Mimi nitaweka hapa ninazo Zipenda na zinazo patikana hapa tulipo ๐
: ๐๐ฝ๐น๐ฟ Kitchen today
#mboga10
Jikoni Leo ๐ฉ๐พ๐ณ
No comments:
Post a Comment