Showing posts with label Chaguo la Mswahili. Show all posts
Showing posts with label Chaguo la Mswahili. Show all posts
Friday, 25 October 2019
Thursday, 23 February 2017
Chaguo La Mswahili Leo;Tina Campbell featuring Teddy Campbell SPEAK THE WORD
Tina na Mume wake Teddy..wimbo umenigusa/nimeupenda...
Swali..wewe Mke/Mume kipi mnafanya pamoja ukiacha kulala pamoja?
"Speak The Word".....Twende pamoja.
Swali..wewe Mke/Mume kipi mnafanya pamoja ukiacha kulala pamoja?
"Speak The Word".....Twende pamoja.
"Swahili Na Waswahili"Burudika.
Friday, 27 May 2016
Chaguo La Mswahili Leo;Hawa-Mawazo [Pia alifanya mahojiano na Mlimani TV]
Shukrani;Wazo TV,Diae,Kelvin Nicholaus.
"Swahili Na Waswahili" Pamoja.
Wednesday, 18 May 2016
Chaguo La Mswahili Leo:Yemi Alade - Na Gode (Swahili Version Official Video)
Chaguo La Mswahili Leo...
dada Yemi Alade ..
Sema Asanteehh hata ukikosa eehh sema Asante kweli wewe ni Mungu...........
dada Yemi Alade ..
Sema Asanteehh hata ukikosa eehh sema Asante kweli wewe ni Mungu...........
"Swahili Na Waswahili"Burudika.
Saturday, 21 March 2015
Wednesday, 31 December 2014
Chaguo La Mswahili Leo-Pharrell Williams- Happy From Tanzania,DRC-Congo-Kinshasa,Goma,Burundi,Rwanda
Waungwana;Natumaini wote Mnafuraha,Amani,Upendo.....
kama wewe huna hivyo pole sana na Mungu yu pamoja nawe!!!!!
Because I'm Happy...........!!!!!!!!
Be Happy.......!!!!!!!
kama wewe huna hivyo pole sana na Mungu yu pamoja nawe!!!!!
Because I'm Happy...........!!!!!!!!
Be Happy.......!!!!!!!
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima.
Saturday, 9 August 2014
Chaguo La Mswahili Leo;Mary Mary - Shackles,Get Up,In The Morning,Shackles,Haven,Go Get It...!!!!!!!!
Waungwana;Chaguo La Mswahili Leo; ni Mary Mary..kitambo kidogo na sasa..zipi zinakubamba/kuzipenda..zamani au sasa au zooote?
Nisikuchoshe..Twende Sote sasa......
>
Nisikuchoshe..Twende Sote sasa......
>
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima
Thursday, 3 July 2014
Chaguo La Mswahili Leo;Michelle Williams - Say Yes ft. Beyoncé, Kelly Rowland.!!!!!
Waungwana Chaguo La Mswahili Leo.Say Yes.....
Mmmhhh Maneno mengi sina..Twende sote sasaaaaa......
Mimi umenishikaaa..wewe je?
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana.
Mmmhhh Maneno mengi sina..Twende sote sasaaaaa......
Mimi umenishikaaa..wewe je?
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana.
Saturday, 26 April 2014
Chaguo La Mswahili Leo;R.Kelly-The Storm Is OverI Now,I'm Your Angel na Nyingine!!!!!!
Nawatakia Mapumziko mema...
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.
Saturday, 2 November 2013
Chaguo La Mswahili Leo;Oliver N'goma-Bane na Nyimgine..!!!
Waungwana "Chaguo La Mswahili Leo" Ni Oliver N'goma...
Mhh..wewe unakumbuka wapi na ilikuwaje/ulikuwa wapi wakati huo?
Maneno Meengi sina nasikiliza kutoka kwako..
Twende Sote sasaaa......
Swahili Na Waswahili Pamoja Sana.
Saturday, 26 October 2013
chaguo La Mswahili Leo;Mrisho Mpoto!!!!
Waungwana ni wakati mwingine tena wa "Chaguo La Mswahili"Leo chaguo limeangukia kwa kaka Mrisho Mpoto[HOME BOY]Mpoto kama ukimsikiliza juu juu..huwezi kumuelewa kabisa na ukashangaa huyu naye anaimba nini?Lakini ukitulia na kumsikiliza maneno anayotumia utakubaliana nami..Maneno yake ni Vichocheo,Mafunzo,Maisha Na Jamii inayotuzunguka...
Mhhh..mimi Mpoto ananikosha/nibamba/Kupenda kazi zake,,,Vipi wewe mwenzangu?
Iyeeehhh Mjomba Iyeehh...!!..Bora kujenga darajaaaa...!!
Mjomba hapa Nyumbani Tuna hadithi na misemo mingi kujihakiki,Maana lake mtu halimtapishi Lakini kukumbatia maji kama jiwe ni ujingaaa...Twende Sote sasa....
Mhhh..mimi Mpoto ananikosha/nibamba/Kupenda kazi zake,,,Vipi wewe mwenzangu?
Iyeeehhh Mjomba Iyeehh...!!..Bora kujenga darajaaaa...!!
Mjomba hapa Nyumbani Tuna hadithi na misemo mingi kujihakiki,Maana lake mtu halimtapishi Lakini kukumbatia maji kama jiwe ni ujingaaa...Twende Sote sasa....
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana
Saturday, 12 October 2013
Chaguo La Mswahili Leo;Sam Mangwana na Franco!!!!
Mmmmmhhh mambo ya kitambo kidogo...
Endelea kupata Burudani...
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana.
Saturday, 28 September 2013
Chaguo La Mswahili Leo;-Baka Gdine!!!!!
Waungwana;Chaguo La Mswahili Leo si Wengine..Wanaitwa/kujiita.
Mmmmmhhh...hapa ni mwendo wa kusakata mpaka chiniii.. si maneno..
.
Orchéstre Baka Gbin
Mmmmmhhh...hapa ni mwendo wa kusakata mpaka chiniii.. si maneno..
Iyeeeeehh mama eehh Iyeehhhh mama eehhh.........!!!!
mimi nimewapenda sana.. vipi wewe?
Endelea na Burudani.....
."Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana
Saturday, 31 August 2013
Saturday, 17 August 2013
Saturday, 3 August 2013
Chaguo La Mswahili Leo;Banana Zorro-Mama Yangu,Nzela na nyingine!!!!
Waungwana;"Chaguo La Mswahili Leo" Banana Zorro.
Mama yangu wewe ni nguzo maishani mwangu Taa imulikayo mbele yangu.....Mmhhhhh...Nikisema nikulipeee itanigharimu Maisha yangu yote!!!!!!!Nikisema nikuzawadie sioni kile unachostahili... ninachoweza sema nakupenda sana mama Nakushuru kwa mema yote uliyotenda kwangu.........
Mengi sina mpenzi/mfuatiliaji.. jee hizi nyimbo zinakugusa/kuzipenda?
Zina Mafunzo/umejifunza kitu?
"Swahili NA Waswahili"
Saturday, 20 July 2013
Chaguo La Mswahili Leo;Marlaw, anakwambia -Bembeleza,Pii pii!!!!!
Waungwana; Natumaini wote wazima na Mnaendelea vyema na mambo yenu,vipi hali ya hewa huko mlipo?
Hapa tulipo leo jua linawaka vizuri...ni Raha na tuweza kunyoosha miguu/kutembea tembea na mambo mengine meengi ya nje yanawezekana.
Mnaofunga ndoa Leo tunawatakia Maisha mema yenye Furaha,Amani,Upendo,Uvumilivu na mshikamano.Mnaotafuta Wachumba/wenza na mliokuwa kwenye maandalizi Mungu awasimamie.
Chaguo La Mswahili Leo Tumsikilize/angalie Marlaw.. mimi napenda nyimbo zake hizi vipi wewe?
Maneno Mengi sina wewe pata Burudani na uwe na J'mosi njema.
"Swahili Na Waswahili" Pamoja sana.
Saturday, 6 July 2013
Chaguo La Mswahili Leo;Nyota Ndogo-Anakwambia,Kuna Watu Na Viatu na nyingine!!!!!
Waungwana; Leo tunaye "NYOTA NDOGO" Ni ndogo inayo Nga'aa...
Mhhh...Rafiki yangu mpendwa...naja kwako siku nyingi wanipokea kwa uzuri siku zote,Wakati sina wanipa nitakachoo.....
Hivi majuzi nilipata kazi nzuri nikaja kukueleza,Mtu wa kwanza nilifiria ni wewe rafiki yangu,Nilifurahi na kuruka na kutaja jina lake Mungu......... Ohhh Kuna Watu Na Viatu DUNIANI!!!!!!
Mhhh si Maneno yagu....... Endelea mwenyewe Mpenzi.....
Jee huyu Rafiki utamuweka kwenye Fungu Gani?
Nyota Ndogo anakubamba/kupenda kazi zake?
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.
Saturday, 22 June 2013
Chaguo La Mswahili Leo;Oliver Mutukudzi!!!!
Waungwana;Chaguo La Mswahili Leo ni Oliver "TUKU" Mutukudzi;
Maneno mengi sina Burudika tuu..jee anakubamba/kupenda kazi zake?
Twende Soote sasa....
"Swahili NA Waswahili"Pamoja Daima.
Saturday, 11 May 2013
Chaguo La Mswahili Leo;Mchanganyiko-Waka Waka,[Shakira]Congo Mama[Joe Mafela][Brenda][Lucky Dube] Na...!!!!
Mengi sina nawatakia J'Mosi Njema..Twende sote sasa...Hai Congo mameee,Congo,Congo MAMAAA...Aiiii SHEBELEZA Njalo MAMA.ekuseni MAMA..............
"Swahili NA Waswahili" Tunawatakia Kheri na Baraka wote Wanaofunga Ndoa Leo na Watu Wote.
Subscribe to:
Posts (Atom)