Showing posts with label Hongera. Show all posts
Showing posts with label Hongera. Show all posts
Wednesday, 7 November 2012
Monday, 1 October 2012
SUNDAY FABIAN & PRISCA'S ENGAGEMENT PARTY HELD IN LEICESTER UK !!!!!
Will you????
Yes I will
Prisca show's off her engagement ring
The new couple soon to be Mr & Mrs Sunday
The couple posing with friends and family
The bride to be posing with well wishers
Prisca & her sis-in-law Femmy
Femmy & Sunday
High Table
Peter & my bro Abeid in the house
Happy people dancing
Watu weweeeeeeee
Mr & Mrs Okoye at the party
"Swahili NA Waswahili" Tunawatakia Maandalizi Mema ya Arusi..
Saturday, 8 September 2012
Siku kama ya Leo da'Sabrina Kiwinga Alizaliwa!!!
Bint Kiwinga kapoziii!!! |
Mhhhh Shangazi langu hiloo,Anatafakari miaka 2. si mchezo!!
OOhh yahh ndiyo mimi Sabrina[SAB'K]!!! |
Siku kama ya Leo Familia ya Bibi na Bwana H.S.KIWINGA wa HOLLAND walipata mtoto wa Kike wakamwita SABRINA!!! da'Sabrina Leo Ametimiza miaka 2.Familia inamshukuru sana MUNGU kwa Yoote,Wanakutakia kila la kheri maishani,Uwe Baraka kwetu na watu wote.
"Swahili NA Waswahili" Tunakutakia Baraka,Amani, Upendo na Makuzi mema.MUNGU awe nawe kila iitwapo Leo.
Burudani ya Leo mambo ya ki DUTCH tuu, hahahaah wapi shangazi Rabia. watachekea kwao....................
Waungwana;Kama unapenda kutuma picha za Sherehe na Mengineyo tumia.rasca@hotmail.co.uk
Pamoja Daima
Tuesday, 14 August 2012
Siku kama ya Leo da'Leyla Kiwinga Alizaliwa;Burudani-Lady Jaydee - Shamba!!!!!
Naye ndiye Funga Dimba[Mtoto wa Mwisho] wa Familia hiyo.
Da'Leyla Tunakutakia kila lililo Jema Maishani.MUNGU Azidi kukubariki na kukulinda kila iitwapo Leo.Akupe sawaswa na Mapenzi Yake,Uwe baraka kwa Watu Woote.
Pamoja Sana. MUNGU NI PENDO
Monday, 16 July 2012
Da'Sandra-Neema Atimiza Miaka14!!!!!!!
da' Sandra na Rafiki yake da'Frida[Swahili ya Tz na Swahili ya Kenya] wakiwa Drayton Manor ndipo alipofanyia sherehe ndogo na Wanafunzi wenzie.
Sunday, 8 July 2012
Siku kama ya Leo da'Rukia.H.Penza Alizaliwa,Burudani-Tuselebuke!!!!!!!!!!
Mwenyewe Wifi/da'Rukia |
Monday, 25 June 2012
Da'Rahifah Jamaldin Atimiza Mwaka Mmoja!!!!!!!!!
Mwenyewe da'Rahifah!! |
Akitafakari aanzie wapi kuikata keki!!! |
Dada na Kakazz, Wapambe muhimu |
Hehehheeh!!! kweli kulea kazi, kaka mtu Bob Malikh yupo bithe kumtengeneza dada yake |
Baba na mwana,Pole da'Sulhiya[mama mtoto] yeye alikuwa mpiga picha siku hiyo,hatukupata picha yake. |
Wakisikiliza Nasaha kutoka kwa Wazazi hahahaha |
Da'Rahifah Tunakutakia kila lililojema,Baraka, Amani,Upendo na Makuzi mema.Uwe Baraka kwa Wazazi na Watu wote.
Hongereni sana Bibi na Bwana Jamal.M.Jamaldin[Minanasi].Kwakukuza, Mungu awape Hekima na Maarifa katika Malezi Yenu.
Swali la kizushi;Waungwana kuna aliye na picha za kutimiza mwaka 1-5?.
Au wewe Wazazi wako Hawakuweka Kumbukumbu,Hawakuwa na Tamaduni hizi za mambo ya siku kuu yako ya kuzaliwa?
"Swahili NA Waswahili" Karibuni Wooote!!!!!!
Monday, 28 May 2012
Da'Tracey-Sarah,Atimiza Miaka 11!!!!!!!
Da'Tracey-Sarah |
Da'Sandra akiandaa Keki |
Tumtangulize Mungu kwanza katika Yote!!! |
Leo umezima 11,mungu akulinde uzime 100!!! |
Anaitwa Mkama; kwakuzima Mishumaa hayuko nyuma,Kama mtoto wako anasuasua kuzima,Tuwasiliane!! |
da'Tracey akikata keki na da'Mija akihakikisha mambo yako sawa!!! |
da'Elizabeth na da'Mija wakiandaa keki,watu tule!!kweli watoto wa Shoka,Mungu awabariki sana!! |
Mama akimlisha Mwana!! |
Da'Mija akilishwa na Rafiki yake kipenzi,Mungu azidi kuwaunganisha daima!! |
Da'Tracey akilishwa na dada yake!! |
Da'Sandra akilishwa na Mdogo wake, duuh kuna haja ya kuongeza sijui!! |
Da'Anita akilishwa,Chezea yeye!!! |
Da'Asiimwe akilishwa,huwa hana haraka wala maneno mengi,jicho tuu linaongea!! |
Da'Manjula aliamua kupanda juu ya kiti,Ale kwa raha,nani anapenda Ufupi? |
Kamanda Mkama a.k.a.Mzee wa Next,Akipata kipande chake!!! |
Dada Mkubwa,Eliza naye akijipatia keki!! |
Pamoja daima!!!! |
Katuni/Vibonzo lazima tuangalie!!! |
Mapoziiiiiii |
Unahitaji wanamitindo? Tuwasiliane.....hahahahaha |
Na muziki tulisakata, sikunyingine nitaweka Video!!!Lakini Zilipendwa waligomaaa!!! |
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi,da'Mija[Mia] akipozi baada ya kazi kubwa!! |
Da'Tracey[Sarah]Akipozi na Kuwashukuru Wazazi,Ndugu,Jamaa na Marafiki kwa yooote!!! |
Asante kwa Kumaliza SAT'S,Salama,wewe ulimlinda akiwa Shule ya Msingi pia Tunamuweka Mikononi mwako Aendapo Secondary.
Shukrani Nyingi Ziwaendee,Familia ya Nyotu[Kamau].Familia ya Manju[Da'Mija Mwanamke wa Shoka].Kaka Don,baba Eliza na Familia yako. Da'Maggie[dadake]Asante sana.
Mungu awabariki sana kwa Moyo wenu wa Upendo na Kutumia Muda wenu kuwa nasi.
Pamoja sana Wapendwa,MUNGU NI PENDO APENDA WATU.Nasi TUNAWAPENDA WOOOOOTE.
Subscribe to:
Posts (Atom)