Picha kwa hisani ya Vijimambo na Kwanza Production
Askari miavuli wakishuka kwa aina yake
Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo
F-22 Raptor
Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa.
Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji.Askari miavuli wakishuka kwa aina yake
Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo
F-22 Raptor