(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Showing posts with label Ukimwi na Jamii. Show all posts
Showing posts with label Ukimwi na Jamii. Show all posts
Waungwana, Dunia inamambo, haya yote yanasababishwa na nini? jee Nani alaumiwe?.MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!! "Swahili NA Waswahili" Tuelimishane kwa Upendo.
Mwakilishi Mkazi wa UNOPS nchini Sierra Leone Bw Omary Mjenga akiwa na Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS Bi. Mulunesh, raia wa Ethiopia, kwenye sherehe hizo, ambazo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Sierra Leone Mh Ernest Koroma. Bi Mulunesh aliwahi kuwa Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS nchini Tanzania mwaka 1996 hadi 2000.