Wapendwa!!Umeshawahi kukutana na Baadhi ya Wanawake wenye Mimba za Vituko?
Wengine hawapendi kuoga,Kuchana/kusuka Nywele, yaani hawajipendiiii,Wengine wanakula Sabuni,Udongo na Vingi visivyolika na Watu wa kawaida, Wengine Visirani,Jeuri,Matusi,Kususa[Kuzila],Kudeka na ....,Wengine hawalali/Kulala sana,Wavivu,Hawapendi watu hata WAUME ZAO!!.
Wengine wao wanapeta tuu/hawana tatizo, hawana tofauti za Mjamzito na akiwa kawaida, tofauti ni Tumbo tuu Limejazika/kuwa kubwa, wanajiremba /kuwa wasafiiii mpaka wanapo JIFUNGUA!!!
Jee Sababu ni Mimba au Kiejendekeza?
Wewe Mpendwa msomaji ulishapata Mimba ya hivyo au kuwa karibu na Mtu mwenye Mimba ya VITUKO?
Nasikia Wababa wengine wanakimbia nyumba zao kwa sababu ya Mimba za Vituko, au nao Wanatafuta Sababu ya kuondokea tuu? Sasa wewe uliyempa Mimba unakimbia jee nani amkimbilie/kumsaidia?
KARIBUNI SANA WAUNGWANA KWA MAONI/USHAURI WENU!!!!!