Waungwa;Wanawake na Urembo,Mitindo..Sikuhizi Wanawake/Kinadada wengi wameamua kurudi/kubaki kwenye Nywele zao za Asili... [Chukuchuku]Wengine hawaweki Dawa wala kusukia Nywele Bandia.Na wengine wanaongezea "Madoido" kidogo ili kupendezesha Nywele hizo, Wengine wanasuka na kuongezea nywele bandia kidogo lakini hawaendi mbali saana na mitindo ya Kizamani/yakina Mama..Lakini wote wanapendeza tuu..
Jee wewe ni mpenzi wa mitindo hii?
Jee ni kuishiwa/kukosa ubunifu wa mitindo mipya?
Jee kuchoshwa na Mitindo hiyo au kuna/ina Madhara kiafya?
kwa mitindo na Urembo zaidi tufuate huku;http://mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima