Mwanamke kutoka Botswana, Anaeishi na virusi vya Ukimwi. Mashindo hayo ya Wanawake yaliyo fanyika 2007 , Wanawake walijitokeza ili kuifaamisha jamii kwamba kuwa na Ukimwi siyo mwisho wa Maisha!!!!!!!!Je wewe unamaoni gani katika hili? Tuungane pamoja katika kuelimishana na kusaidia Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI!!!!!!!!.
Tuesday, 8 March 2011
Thursday, 3 March 2011
Saturday, 26 February 2011
Monday, 21 February 2011
Monday, 14 February 2011
Watoto na Uhuru!!!!!!!!
Wazazi /Walezi wenzangu.Wewe una mawazo gani kwa watoto chini ya miaka 15,kupewa uhuru wa kusheherekea siku zao za kuzaliwa na rafiki zao nje ya nyumbani,tena bila ya usimamizi wetu?.Je ndiyo maendeleo,kuwapatia nafasi wajimwage au?Nasubiri mawazo yako ili tujifunze na kuelimishana katika malezi ya watoto wetu, karibuni sana!!!!!!!!!!!!!
Wednesday, 9 February 2011
Friday, 4 February 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)