Wapo wanaotamani hata Uji wa chumvi na hawapati,Wapo wanaoweza kupata chakula chochote watakacho,lakini hawali kwa sababu wanafanya Diet. Wapo wafujaji, waharibifu na wachoyo.Wapo wanaopenda kusaidia waliokosa lakini wana vichache.Binadamu tujenge tabia ya kusaidiana / Kutoa ni Moyo si Utajili!!!!! Wewe unamawazo/mchango gani katika hili? Karibu tuelimishane Wapendwa!!!!
Wednesday, 16 March 2011
Saturday, 12 March 2011
Wanaume Wanaopigwa na Wake zao!!!!!!!!!!!
Hivi kuna Wanaume wanaopigwa na kunyanyaswa na Wake zao? Je nao wanakitengo cha kuwasaidia kama vile Tamwa na kwingine? Kwanini kelele nyingi/mashitaka mengi niyasikiayo ni ya Wanawake,Au Wanaume ni wavumilivu,wanaona aibu,wanajikaza kiume au wao hawaumizwi na wakiumizwa wanayamaliza wenyewe? Karibu tuelimishane wapendwa!!!!!!!!.
Tuesday, 8 March 2011
Siku ya Wanawake!!! Mshindi wa Shindano la Wanawake wenye HIV!!!!!!!!!
Mwanamke kutoka Botswana, Anaeishi na virusi vya Ukimwi. Mashindo hayo ya Wanawake yaliyo fanyika 2007 , Wanawake walijitokeza ili kuifaamisha jamii kwamba kuwa na Ukimwi siyo mwisho wa Maisha!!!!!!!!Je wewe unamaoni gani katika hili? Tuungane pamoja katika kuelimishana na kusaidia Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI!!!!!!!!.
Thursday, 3 March 2011
Saturday, 26 February 2011
Monday, 21 February 2011
Monday, 14 February 2011
Watoto na Uhuru!!!!!!!!
Wazazi /Walezi wenzangu.Wewe una mawazo gani kwa watoto chini ya miaka 15,kupewa uhuru wa kusheherekea siku zao za kuzaliwa na rafiki zao nje ya nyumbani,tena bila ya usimamizi wetu?.Je ndiyo maendeleo,kuwapatia nafasi wajimwage au?Nasubiri mawazo yako ili tujifunze na kuelimishana katika malezi ya watoto wetu, karibuni sana!!!!!!!!!!!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)