Saa,Siku,Wiki,Miezi.Leo Tarehe 23/04/2011 Imetimia Miaka 17.Tangu ulipotutoka Tarehe 23/04/1994.Baba yetu Mpendwa Mzee M.S.KIWINGA.Ulituacha katika Majonzi/Huzuni na kukata tamaa ya maisha.Lakini Mungu ni muweza wa yote ametusaidia na kusimama tena.Tulikupenda lakini Mungu mwenyeezi alikupenda zaidi.Daima hatuwezi kukusahau kwa yote na mengi katika malezi yako.Utakumbukwa daima na Mke wako mpendwa,Watoto,Wajukuu,Ndugu,Jamaa,Marafiki na Majirani.
Shukurani za Dhati ziwaendee Wote walioshiriki nasi katika wakati ule mgumu.Tunaheshimu sana Michango,faraja zenu kwa wakati ule na hata sasa!Pia niwatakie kila la kheri na lililo jema kila siku.
Kwaniaba ya Familiya ya Mzee KIWINGA wa Ilala Sharifu/Shamba,Nasema asanteni sana wote na Tunawapenda.