Waswahili wa Holland wakisherekea Qeen day.Hii ni Siku muhimu kwa watu wa Holland,Waswahili wa huko nao wakaona vyema kujumuika na wenyeji wao.Tunawatakia Maisha mema na Ushirikiano mzuri.
Je wewe msomaji huko unapoishi, Unapenda kuungana na wenyeji wako katika siku zao muhimu?Karibuni sana Waswahili wote popote mlipo,Mnaweza kutuma picha /matukio yenu.