Siku kama ya leo, Familia ya Bibi na Bwana M.S. Kiwinga walibahatika kupata mtoto wa kike ;Rachel-siwa.
Nawashukuru sana Wazazi wangu kwa Malezi yenu mema na yote mliyonitendea.
Pia nakushukuru sana kaka yangu R.Kiwinga kwa kupokea ulezi na kunitunza, Tangu pale Baba alipofariki mpaka pale uliponikabidhi kwa Mume,Sina cha kukulipa bali sitoacha kukuombea.
Ahsante sana Mume wangu Issac kwa yote na kuwapamoja siku zote mpaka 27/07/11 yaani j'tano iliyopita tumetimiza miaka 15 ya ndoa yetu,Mungu atubariki sana katika maisha yetu.
Basi niwashukuru Ndugu,Jamaa,Marafiki zangu woooooteee, kwa Yote,kwani nikiandika hapa hapatatosha.
NENO LA LEO; Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika,kama sina Upendo,nimekuwa shaba iliyo na upatu uvumao.Tena nijapokuwa na unabii,na kujua siri zote na maarifa yote,nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina Upendo,si kitu mimi.Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina Upendo, hainifaidii kitu. Upendo Hufadhili; Upendo Hauhusudu; Upendo Hautakabari; Haujivuni; Haukosi kuwa na adabu; Hautafuti mambo yake; Hauoni uchungu; Hauhesabu mabaya; Haufurahii udhalimu,bali Hufurahia pamoja na kweli.!!!
MUNGU ATUBARIKI SOTE!!!!!!!!!