Friday, 7 October 2011
Wednesday, 5 October 2011
KITENDO TULICHOKILAANI KUTENDEWA MKUU WA WILAYA IGUNGA CHAJIRUDIA TENA, NANI WA KULAUMIWA.
Mwanamke mmoja jana aliyesadikiwa ni mwanachama wa CHADEMA alibebwa mzobe mzobe na Askari wa kutuliza ghasia Igunga baada ya kutokea mtafaaruku kati ya wanachama wa CHADEMA na Polisi muda mfupi kabla ya kutangazwa matokeo ya mshindi wa kiti cha Ubunge igunga.
Napenda wadau tuliangalie hili, hasa taasisi zote za kijamii na kiserikali, hivi majuzi Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mama Fatuma Kimario alidhalilishwa kwa kuvutwa na kuvuliwa kilemba na wafuasi wa chadema, kitendo ambacho kililaaniwa na taasisi zote za kijinsia, kijamii na kiserikali. Leo hii linatokea tena tukio kama lile, la mama huyu kuzalilishwa kijinsia kwa kushikwa mwili wake bila ridhaa yake, naziomba taasisi zinazohusika na haki zitueleze je huyu mama hii ni haki yake kutendewa kitendo kama hiki au kwa sababu ni kutoka chama cha upinzania au kwa sababu ni mwanamke asie na madaraka yoyote? La hasha! nadhani hapo hiyo siyo haki.
Naamini jeshi la polisi linao askari wa kike, kwa nini hawa wasitumike kuwakamata waandamanaji wa jinsia yao! mpaka askari wa kiume anadiriki kumbeba huyo mama! Je angekuwa ni mama yake angeweza kumbeba hivyo?
Mi kwa mtazamo wangu nadhani kuna haja ya kuundwa taasisi maalum kwa ajili ya kuwapa elimu ya jinsia hawa askari wetu nadhani itaweza kusaidia udhalilishaji huu usiwe unajitokeza.
KAPINGAZ Blog haifungamani na chama chochote cha kisiasa, Tungependa kuwasikia TAMWA, TGNP na Taasisi nyingine za kijinsia mkikemea na kuvilaani vitendo hivi. Tulitegemea kitendo kile kilichotokea kwa Mkuu wa Wilaya kinaweza kikawa funzo pia kwa askari wetu lakini tunaona bado kinarudiwa tena.
Imetumwa na KAPINGAZ Blog.

Tuesday, 4 October 2011
Saturday, 1 October 2011
Siku kama ya Leo dada Rabia,Nyembo Alizaliwa!!!!
Familia ya Bibi na Bwana A.Jumaa wa Dar-es-salaam,Siku kama ya leo walipata mtoto wa kike na Wakamwita RABIA.
Ujumbe kutoka kwa Rabia.J.Nyembo;Anapenda kuwashukuru sana wazazi wake kwa malezi mema naya upendo waliyompa, mpaka pale alipoolewa.
Shukrani kwako Mume wangu kipenzi bwana Nyembo,na Mungu atubariki siku zote za maisha yetu,pia Asante Mungu kwa kunijalia watoto wazuri,Naomi na Nadia.
Namshukuru sana Mungu kwakunifikisha hapa.
Mungu Tubariki Sote.
:Swahili na Waswahili wanakutakia kila lililo jema kwako na Familia pia.
Mungu akuongezee miaka mingine mingiiiiiiiii.

Friday, 30 September 2011
Ubatizo wa da'Arianna,Uliofanyika Tanzania!!!!!!
Da'Arianna na mapozzzz.
Siku zote uwe Nuruni.
Shangazi akiwa sambamba na mtoto wake,Hatimaye Arianna anabatizwa.
Kwajina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu Amina!!
Mama Arianna kama anaota vile.
Familia pande zote 2, walikuwepo.
Familia sambamba na Mpendwa wao.
Mashangazi wa Arianna, wapo Makini.
Mjomba na Shangazi wakifurahi.
Nakuaminia MAHOZA hapo huhitaji msaada.
Kula mama mimi penda sana wewe Rafiki yangu.
Kula kwa niaba ya baba, mimi penda sana wewe ba'Mdogo.
Asante sana mama kwa kunisababishia haya , baba yako inakuja hukohuko.
Arianna mwanangu tumemaliza ehh, Ndiyo mama, yaani nilikuwa naogopa.
Arianna; Ali BATIZWA katika kanisa la KIANGLIKANI MAGOMENI,DAR-ES-SALAAM, TANZANIA.
Baadae walielekea kwenye Sherehe ya kumpongeza kwa UBATIZO na Kufika kwake TZ.
Ujumbe kutoka kwa Wazazi wa Arianna;Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa jambo hili na mengi mema aliyotutendea.Pia Tunawashukuru sana Wazazi wetu,Ndugu,Jamaa na Marafiki wote,kwa yote.
Mungu awabariki sana sana.
:Swahili na Waswahili inakutakia maisha mema da'Arianna na Hongera sana,
na pole sana huku kucheza kama Bongo sahau, lakini Mchanga unauzwa hata Tesco mwanangu.

Wednesday, 28 September 2011
KAPINGAZ Blog na JEZI ZENYE LOGO YAO,KAA MKAO WA KUVAA.!!!
KAPINGAZ Blog SIO MUDA MREFU TUTAKULETEA JEZI ZENYE LOGO YETU KAA MKAO WA KUVAA.
Subscribe to:
Posts (Atom)