Da'Tamara kama anaota vile!!!!!!
Duhhhh sasa nimetimiza mwaka, Hawa wazazi sijui watanipeleka Boarding..?
Mwenyewe mama Tamara!!
Baba Tamara [kaka Manyanya] naona kajibebea Tamara wake.
Hongera da'Tamara kwa siku yako hii Muhimu, Mungu akubariki katika yote.
Baba na Mama Tamara; Hongereni sana na Mungu awe nanyi daima katika malezi ya da'Tamara
na Maisha yenu.
Zaidi kuhusu Tamara na Wazazi wake na menginemengiiiii!!! Ingia http://ninaewapenda.blogspot.co