Thursday, 17 November 2011
Wednesday, 16 November 2011
Kuna Siku za Furaha na Siku za Vilio,Yote ni MaishaTusikate Tamaa!!!
Siku Ndugu zangu walipokuwa na Furaha.
Mshumaa ulio Zimika.
Mshumaa ulioZimika
Mungu awatie Nguvu katika wakati huu Mgumu na Sikuzote,Zaidi tudumishe Upendo,Umoja,Ushirikiano na Tusikate Tamaa,Wakati kama huu ndiyo utamjua Rafiki,Ndugu wa Kweli na Mengi Mema kwa Mabaya unaweza kuyasikia.Na niwakati kwa Waliopoteza Wazazi/Wapendwa wao Kuwakumbuka na Kulia tena,Nimeamini wanaosema Kilio hakiishi Utalia kila unapokumbuka.Nilitamani niwe nanyi lakini Mungu aliye nanyi ni Zaidi yetu sisi Tuliyo mbali.Mungu awalaze Mahali Pema Peponi Nduguzangu na Rafiki zangu,Jirani zangu na Wote waliotangulia.Sina Mengi ya Kusema bali nasema Asante Mungu.Wenu MWANAPENZA.

Monday, 14 November 2011
Wanawake Waswahili wa Coventry wanakutakia,Kila la kheri da'May!!!!!!!!
Mwenyewe da'May.
Kekiiiii
Kata mwanangu kataaa Keki
May akilishwa na dada yake Esther,dada huyu ndiyo chanzo cha shughuli hii
May akimlisha dada yake kwa Furaha
Da'May baada ya kumlisha dada yake wakaangaliana,May akasema Asante dada yangu
May na Mswahili wa Congo
Mama mwenye nyumbaaa alilishwa pia
dada akisogea kutoa Nasaha zake mambo ya Tanga hayo
Heheheheee da'Stellah Akitoa Nasaha zake
Weshuuu!! da'Tina akitoa Nasaha zake
Wamama wakifuatilia Nasaha mbalimbali
Waswahili kutoka Milton nao walikuwepo
Da'Edna alikuwa MC siku hiyo, Yupo sambamba na mwali
Da'Asha mwenye furaha akifuatilia mapango mzima wa Nasaha
Wamama hawa wameguswa na Nasaha
Da'Bai yupo makini na kamera yake,lakini sikio lipowazi Kusikiliza Nasaha
Da'Sarah,Mamie na Stellah,Shughuli ilikamalika
Da'Tinna alikuwepo
Dadazzzz walikuwepo,Neema,Maggie na Vick
Penye Wanawake Waswahili hakukosi Mila babuu Mtu kwako yakheeee
Haya funga Vibwebwe jamaniiiii!!!!Twende sasa!!
Hahhahahha Mwali kakuaaaaaaaaaaa,Swahili na Waswahili Wapendwaaaa
Nyanyuka sasa Mdogo wangu ya Coventry yameisha Subiri ya Dar na Tangaaa
Mpango mzima wa muziki na Ngoma ulisababishwa na da'Chikuuuu huyo wa Mwisho
Shughuli hii ndogo ya Kumtakia Ndoa Njema dada May,Iliandaliwa na da'Esther,yeye ni dada wa bi Arusi mtarajiwa, Wanawake Waswahili wa Coventry U.K,[WWCU]Walikuwa bega kwa bega na da'Esther kufanikisha jambo hili.
Wanawake Coventry mpo juu na Mungu awabariki sana!!!
Dada May anatarajia kufunga Ndoa hivi karibuni,Ndoa hiyo itakuwa Nyumbani Tanzania[Bongo].
Kwaniaba ya Wanawake wenzangu;Da'May Tunakutakia Safari njema,Ndoa njema yenye baraka na Mungu akutangulie kwa kila jambo wewe na Mume wako Mtarajiwa pamoja na Familia na Wote watakaofanikisha.
Mengi yalishasemwa pale kwenye sherehe,Hatuna la zaidi sisi TUNAKUPENDA SANA!!!!!!!

Friday, 11 November 2011
Wednesday, 9 November 2011
DR. REGINA KAPINGA AIPEPERUSHA VEMA BENDERA YA TANZANIA NDANI YA BILL AND MELINDA GATE FOUNDATION.
DR. Regina Kapinga
Mama Regina (Program Officer of Bill & Melinda Gate Foundation) ni Mtanzania wa kwanza kuchaguliwa kuwa Staff wa Bill and Melinda Gate Foundation.
kutokana na Elimu na uzoefu aliokuwa nao katika kufanya kazi kwenye Taasisi za kimataifa, Taasisi ya kimataifa inayomilikiwa na Tajiri mkubwa Duniani Bill Gate ambaye ni mmiliki wa kampuni kubwa ya technolojia ya Microsoft ikaona imtumie katika kuweza kusimamia shughuli zote zinazohusu misaada mbali mbali katika mabara maskini Duniani, yaani Afrika na Asia.
Watanzania tunakutakia afya njema ili uweze kuitangaza zaidi Nchi yetu, tunaamini kupitia wewe Taifa letu litafaidika na misaada mbali mbali kutoka kwenye Foundation hiyo.
Habari hii nimetumiwa na KapingaZ Blog
Asante sana.
Habari hii nimetumiwa na KapingaZ Blog
Asante sana.
Monday, 7 November 2011
Da'Arianna Atimiza Miaka 3!!!!!!!
da'Arianna kasimama tayari.
Kitu cha kekiii.
Mwenyekiti da'Mija akiandaa kekii.
Arianna na mama'ke wakifurahia.
Mama Arianna akimsaidia kukata keki.
Kula mwanangu weee.
Dadazzzzz wakitabasamu.
watoto wakibadilishana mawazo.
dada unajua mchezo huu?
Watoto wa Swahili Fellowship, wakisubiri kekii.
wametulia wenyewe.
Watoto wanatabasamu naona mambo yalianza kusogea.
Watoto waliitikia mwaliko.
Mama kula eehhh,mama alikula mwishoni baada ya kuhakikisha watoto wote wamepata keki.
Familia ya bibi na bwana Jonathan Mbwambo wa Coventry U.K.
Wanamshukuru sana Mungu kwa Mema mengi aliyo watendea, Moja kati ya hayo ni kumlinda mtoto wao mpendwa da'Ariann mpaka leo Ametimiza miaka 3, Mungu ni Mwema sana.
Pia wanapenda kutoa Shukrani kwa Wazazi na Watoto wa Coventry Christian Swahili Fellowship,na Wote waliojumuika nao.Shukrani za Pekee zimwendee Mwenyekiti wa Watoto da'Mija na Kamati Yake.
Mungu awabariki wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine.
Familia tunasema Asanteni sana kwa Moyo wenu na Mungu awe nanyi daima.
WENU KATIKA YOTE NA TUNAWAPENDA SANA.
NASI SWAHILI NA WASWAHILI TUNAMTAKIA ARIANNA MAISHA MEMA YENYE AMANI NA FURAHA TELEEEEEEE.

Sunday, 6 November 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)