Asanteni sana Swahili dadazzzz.
dada Esther Asante.
Wapendwa Mungu awabariki sana.
Mbarikiwe Malongazzzzz.
Ahsante sana mamaKisa.
Ahsante sana Dj Rik/blogger wa the network.
Chakula; Nyama choma na vyote,Vimepikwa kwa da'Batuli.
Ahsanteni sana wote kwa Upendo na kutoa Muda wenu kwa kujumuika nasi , Mungu awabariki sana,Tunawatakia kila lililo jema.Kwaniaba ya da'Maggie ,da'Vick na Familia yangu,TUNAWAPENDA SANA.