Marehemu Christavina Kusaga Cryor
|
Familia ya Kusaga
inawaomba watanzania wote walioko Marekani na hasa eneo la Washington DC
na vitongoji vyake kushirikiana nao katika harambee (fundraising) ili
kupata pesa ya mazishi ya mtanzania mwenzetu Christavina Kusaga Cryor
aliyefariki February 7, 2012 kwa sarakani ya utumbo.
Marehemu alikuwa akiishi
Landover, MD. Ameacha mume na watoto wawili- mvulana wa miaka 4 na
msichana wa miaka 2. Alikuwa akisumbuliwa na cancer ya utumbo.
Tafadhali fika tushirikiane
kusaidia mume wake na watoto na familia wamzike mpendwa wao. Jumla ya
gharama za mazishi ni $11,000, na mpaka sasa tuna $3,000. Tunashukuru
kwa waliokwisha saidia.
Harambee itakuwa Jumapili February 12, 2012, kuanzia saa 8.30 mchana (2.30pm).
Anuani ni: 3621 Campus Drive, College Park, MD 20740.
Kwa wale wa mbali au wasioweza kuhudhuria tafadhali tusaidie mchango wako kwa kutumia Capital One Bank, Account# 1351500235; Routing # 255071981. Jina la Account ni Lavorn Cryor. Tafadhali eneza habari hii kwa ndugu na marafiki wote. Asanteni sana kwa ushirikiano wenu katika wakati huu mgumu.
Kwa
habari zaidi mpigie: Magoma (202.607.1976); Adelaida (240.602.3183);
Matinyi (301.792.2832); Mkakile (240.938.3177); Teddy (301.254.4169);
Makaya (202.460.1044); Latifah (240.603.7353); au Rebecca
(202.580.4648).
M/Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amen
M/Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amen