Wednesday, 22 February 2012
Tuesday, 21 February 2012
Nderemo na Vifijo Leo -Rwanda, Ni da'Rubango apata Mwenza!!!!!!
Hayawi hayawi sasa Yamekuwa! dada Rubango na Mumeo Hongereni sana kwa kuwa MKE na MUME!!
Mungu asimamie maisha yenu yawe yenye Baraka na Amani.
UJumbe;dada Rubango na nawatakia maisha mema yenye Furaha na Upendo wewe na Mumeo,Mungu awenanyi kila iitwapo Leo,Nawapenda sana.
Wako Neema Nyanyile
COVENTRY.
Sunday, 19 February 2012
Nawatakia j'pili Njema,kibao kutoka Kijitonyama-Masiah wanyi!!!!!!!
Friday, 17 February 2012
Waswahili na Maisha yao - Washington DC,Marekani na Mzee Yusuf,Nyumbani kwa Missy Temeke!!!
Haya wapendwa waswahili na Maisha yao,Makhanjumati/Vyakula kwa wingi,Burudani, watu na furaha.ilikuwa siku ya Wapendanao,Wao waliamua kupendana kihivyo,Hayo yote ni Mapenzi,Umoja,Kufurahi ,Kushirikiana na Wengine!.Ukitakata kujua zaidi ingi. http://swahilivilla.blogspot.com
Wednesday, 15 February 2012
Tuesday, 14 February 2012
Siku kama ya Leo dada Nadia Nyembo Alizaliwa!!!!
Siku kama ya leo familia ya Bibi na Bwana Nyembo Fundikira, walipata mtoto wa kike na wakamwita NADIA!!.Leo dada Nadia ametimiza miaka 2.''Chimami'' tunakutakia kila lililojema maishani mwako,Mungu awe nawe daima,Uwe baraka kwa Wazazi,Ndugu,Jamaa ,Marafiki na Watu wooote.
Familia ya Fundikira,Jumaa,Tuwa na Kiwinga,Tunaungana pamoja katika kukutakia kheri na kumuomba Mungu asimamie makuzi yako.
Hongera sana'' VALENTINE''NADIA.
Familia ya Fundikira,Jumaa,Tuwa na Kiwinga,Tunaungana pamoja katika kukutakia kheri na kumuomba Mungu asimamie makuzi yako.
Hongera sana'' VALENTINE''NADIA.
Monday, 13 February 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)