Saturday, 3 March 2012
Chaguo la Mswahili Leo-Ngoma & Kidumbak na Ahmada Umelewaaaa!!
Tuesday, 28 February 2012
Jikoni Leo -Bamia,Kwanini Wanaume wengi Hawali?Burudani- Nshomile!!!!!
Bamia za kukaanga na mafuta,Hapo naongeza na nyanya.
Mimi hupenda na Ugali.
Bamia za Kuchemsha[Mrenda]
Waungwana hivi ni kwanini mboga hii ya Bamia Wanaume wengi Hawali/Hawaipendi? Jee wewe Unapenda Bamia na Unapikaje?Wengine wanatia na nyanyachungu,Kwenye Samaki Wakavu na....Jee Unaweza kula Bamia na Ugali wa Muhogo? Karibuni sana!!!!Monday, 27 February 2012
Mtoto Wetu Leo-Sabrina!!!!!!
katika Poziii |
Alikuwa MC |
Mifugo ni adimu kwao,weee paka njoo hapa!!! |
Kwanini jana ulikimbia?utahama humu oohh,haya niamkie.. |
Waswahili wanasema vyakurithi Vinazidi jee ni kweli?
Jee Watoto wanaweza kurithi Vituko,Ucheshi,Upole na Ugomvi?
Na kwanini baadhi ya misemo ya watoto inafanana kama Maji,kuwa Mma,Nyonyo na.....?
Kunawakati unaweza cheka na Mtoto mdogo au Kulia kwa mambo yake!!!!
Wengine hawapendi kula,kulala Usiku na mambo mengi.Pia kuwa na Mtoto kuna Raha yake!!
Kama wewe huna Mtoto na Unahitaji,Mungu yu Mwema Uskate Tamaa!!!!
Sunday, 26 February 2012
Saturday, 25 February 2012
Chaguo la Mswahili Leo-Muzina yaTabu ley,Zaiko Langalanga na Bozi boziana!!!
Leo nimekurudisheni nyuma kidoogo,Vipi kuhusu vibao hivi leo,kuna lolote unalokumbuka?Twende Sote na Burudani !!!!!Nawatakia week end Njema.
Wednesday, 22 February 2012
Tuesday, 21 February 2012
Nderemo na Vifijo Leo -Rwanda, Ni da'Rubango apata Mwenza!!!!!!
Hayawi hayawi sasa Yamekuwa! dada Rubango na Mumeo Hongereni sana kwa kuwa MKE na MUME!!
Mungu asimamie maisha yenu yawe yenye Baraka na Amani.
UJumbe;dada Rubango na nawatakia maisha mema yenye Furaha na Upendo wewe na Mumeo,Mungu awenanyi kila iitwapo Leo,Nawapenda sana.
Wako Neema Nyanyile
COVENTRY.
Subscribe to:
Posts (Atom)