Siku kama ya Leo Familia ya M.S.Kiwinga walipata Mtoto wa kike!!!!
Mimi Rachel-siwa NaMshuru sana Mungu kwa Mema Yooote Maishani Mwangu.
Kwangu hakuna baya na nilipo hisi baya Nafuta na Kusema ni MAPITO[MITIHANI]TUU.WEWE UNATOSHA BABA!!!.
Mtoto kwa Wazazi atabaki kuwa mtoto hata kama ana Watoto.
Ninawashukuru sana Wazazi wangu kwa yooote mliyojaaliwa kunipatia kulingana na Uwezo wenu,
Nawapenda,Nitaendelea Kuwapenda mpaka mwisho wa Maisha Yangu.
BABA najua hayupo nami kimwili lakini Kiroho nipo nawe na nitaendelea kukumbuka Daima.
Nikushukuru UBAVU wangu ISAAC,Asante sana kwa yooote,MUNGU Azidi kutusimamia katika Maisha yetu.Mimi Penda sana wewe Mubena yangu!!!!!
Niwashuru sana Kaka,Dada,Watoto Zangu woote Nawapenda.
Pia Niwashukuru Ndugu,Jamaa,Marafiki,Majirani na Wooote wanaonifahamu kwa njia moja au nyingine.
Kamwe Sijutii kufahamiana nanyi, Basi Nirudishe Shukrani kwa MUNGU najua ni mpango wake kuniunganisha nawe.
Nanilipo kosea/kukukosea Naomba Nisamehe,Kwani Nami ni Bin'Adam Sijakamilika.
Nawapenda woote wakubwa kwa watoto,Wake kwa Waume.
MUNGU TUBARIKI SOOOOTE.
AMEEN.