Waungwana nawatakia "EID MUBARACK" na J'Pili Njema!!Ndugu,Jamaa,Marafiki na Watu Woote.MUNGU awalinde katika Siku hii na Siku zote.
Iwe siku ya Upendo,Amani,Fadhili,Kusaidia Yatima,Wajane,Wagonjwa ,Wenye Shida na Tabu.Ili nao wapate Faraja na kujiona wapo na watu wanaowajali.
Nami Mwezi wa Ramadhani haukupita hivi hivi niliungana na Familia ya Mkulu "Mama Miriam" kwa FUTARI. Shukrani sana.
MUNGU Atubariki Sooote!!!!
"JIKO LA MAMA MIRIII"
Jee unapenda kutuambia EID Yako imekuwaje,kutuma ujumbe,salaam au picha? Usisite kututumia kupitia;rasca@hotmail.co.uk.Karibuni Wooote!!!!
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.