(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Waungwana,"Wanawake na Mitindo" Leo Tupo Kinyumbani nyumbani,Si wengine ni Wswahili hawa Waishio Nje lakini hawasahau ya Kwao.niIlava............ Ilava: It Can Be Done
Chicago, Illinois 60653 +1 773-805-0704 Pia unawezakuwapata Facebook. Mwanamke mwenzio/Mswahili mwenzio akifanya kitu kizuriri lazima umpe sifa yake!!!! Wanawake wa Swahili na Mitindo/Majukumu. Unalolote la kuongezea hapo? Karibu sana Tunasubiri Maoni,
Waungwana;"Wanawake na Mitindo".leo Ki-dada/mama-Ki Afrikaaaa!!!!!
kwakweli mavazi haya hayamchukii mtu kwa Mtazamo wangu,kila Anayevaa anapendeza,tena Vazi hili linaupa mwili Nafasi na Kujiamini, Au.. weweee unaonaje?
Vipi wewe Dada/Mama ni Mpenzi wa Mavazi haya? wewe Kaka/Baba ungependa Dada/Mkeo au Rafiki yako Atinge hivi?
kwanini Unapenda na kwanini Huyapendi?
Funguka/Tuambiazane..........Mmmmhhh nisimalize Uhondo ngoja nisikilize na wengine...........
Picha hizi nimetumiwa na Rafiki yangu Tarou,yeye si Mswahili bali ni Rafiki wa "Mswahili" kina kaka/baba nanyi nitawarushia Msikonde wala nini.
Waungwana; "Ya Kale ni Dhahabu" Alikuwa kabin'ti Enzi hiizo, sasa ni mama . Kuna kitu chochote unakumbuka katika picha hizi? Hizi nguo sijui zilikuwa zinaitwa Bahama au.......? Karibuni sana Waungwana katika Yoote.kama Unapicha za Zamani unataka tuzirushe hapa, Usikonde Tuma;rasca@hotmail.co.uk. "Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.
Mabibi wa [doti com] Kileo na Mambo Yao!!!!!!Mama Erik/Kadala.Ndugu wa mimi na Waungwana woote, hapo vipi? bibi katupiaaa.........Mabibi wa leo hawataki,Sangula,Vanga,Mganda,Lizombe,Mbeta, Mdumange. Nao wanaungana na mangoma ya sasa. Vipi ndiyo maendeleo au?
Waungwana; "Chaguo La Mswahili Leo"ni mambo Mchanganyiko.
Hunifahamu sikufahamu iweje leo unipakazie!!!........mambo ya Dully....Banana nae na mambo ya oohh oohh Nzela mwanamama!!!
mmhh ngoja nikanywe Maziwa kwanza...
Waungwana sina Meengi Twende sotee sasa, kuna lolote unalo lakuongezea,kukumbuka katika nyimbo za Leo?Tuhabarishe/tuelezee!!!!!
Naomba niwaletee kwenu link ya Documentary interview iliyofanyike baada ya onyesho kubwa la vichekesho lililohusisha Even
Bukuku na kundi lake la Vuvuzela akishirikisha wasanii kutoka Kenya na Uganda.
http://youtu.be/j-BQHJnRfdA
Post documentary interview to the biggest ever Stand up Comedy Show of the Year 2011, happened at The Golden Tulip Hotel
on FRIDAY the 16th December 2011 in "Those Crazy East Africans" - Evans Bukuku and his Vuvuzela crew Featuring
Comedians from East Africa: Mdomo Baggy from Kenya, Uncle Bob from Uganda & Evans Bukuku, Dogo Pepe and Songbird
ENIKA from Tanzania!!!
Waungwana; Tujikumbushe na kama hujaona,Baraza la Watoto,Mahojiano na Rais wa Jamuhuri ya Tanzania.Muheshimiwa .JAKAYA KIKWETE.
Kuna lolote,Umejifunza/ unataka kutueleza kupita Video hizi?Karibu sana Tuelimishane kwa Upendo.Video hizi zinaendelea, kuona zaidi na kujifunza meengi ingia;CreativeGenesTZpia unaweza kufuatana nao kupitia; twitter@creativegenesTz.