Image
Profession ikishirikiana na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa mara nyingine
inatangaza kuanza kwa muhula mpya wa pili wa Shindano ya Uchoraji maalumu kwa
Taasisi za elimu.
Shindano ambalo pia
linajulikana Kama: Educational Drawing Competition au Image Profession
Educational Drawing Competition, lina malengo ya kuibua vipaji katika fani ya
uchoraji kwa kuzingatia uwekezaji kwa watoto na vijana.
Theme/Wazo kuu la
mwaka huu: ART IMITATES LIFE au SANAA HUFUATISHA MAISHA
Makundi ya ushiriki
´
Chekechea,
´
Elimu
ya Msingi,
´
Elimu
ya Sekondari na
´
Elimu ya Juu
Kwa maelezo na
taratibu za Shindano tembelea Facebook Page/Group “Tanzania
Drawing Competition” au wasiliana na BASATA au
DRAWING COMPETITION – IMAGE PROFESSION,
P O BOX 92
DAR ES SALAAM.
SIMU: +255 222 664 740 / +255 713 484 040
/ +255 714 676 217 / +255 716 430 084
EMAIL: info@imageprofession.com