Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 2 November 2012

TRA MBEYA KUELEKEA SIKU YA MLIPA KODI WASAFISHA STAND KUU YA MABASI!!!!!!








Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania wakiongozwa na Meneja wa TRA Mkoa wa Mbeya, Anold Maimu wamefanya usafi maeneo ya Standi kuu ya mabasi mjini Mbeya  kuelekea kwenye kilele cha siku ya mlipa kodi.
Mtazamo wa Mamlaka hiyo ukiwa ni kuwa karibu na walipa kodi kwa kwa kutoa hudumia kwenye jamii na kuamsha moyo wa kujitolea katika huduma za kijamii na kukumbusha umuhimu wa uhiyari wa kulipa kodi bila shuruti!!!!

Habari na Picha kwa hisani ya Image Profession.

Thursday, 1 November 2012

Wanawake Waswahili wa Coventry,U.K.[WWWCU]Wamtakia Kheri na Baraka da'Maggie[2]!!!!!!


wakimuingiza mpendwa wao








Tukicheza ngoma za Asili






Wakifatilia Matukio







Keki








Wamama/waalikwa







Chakula
Nasaha

Shangwe!!!!!!!!
Shukrani na MUNGU awabariki wooote mliofanikisha jambo  hili.

Wednesday, 31 October 2012

Mpendwa Wetu da'Mamie Msuya Amefiwa na Mama Yake!!!!!


Da'Mamie Msuya Pichani.
Amefiwa na MAMA yake Mzazi Afrika.
Dada Mamie anajiandaa na safari, Ataondoka kesho kwenda Afrika.
Tuungane nae katika wakati huu mgumu kwake. Hapa U.K. Msiba upo Nyumbani kwake.
Address;3C THOMAS KING HOUSE,
WELLINGTON ST,
CV1 5SJ.
COVENTRY.
Asanteni.