Wafanyakazi
wa Mamlaka ya Mapato Tanzania wakiongozwa na Meneja wa TRA Mkoa wa Mbeya, Anold Maimu wamefanya
usafi maeneo ya Standi kuu ya mabasi mjini Mbeya kuelekea kwenye kilele cha siku ya mlipa
kodi.
Mtazamo
wa Mamlaka hiyo ukiwa ni kuwa karibu na walipa kodi kwa kwa kutoa hudumia
kwenye jamii na kuamsha moyo wa kujitolea katika huduma za kijamii na
kukumbusha umuhimu wa uhiyari wa kulipa kodi bila shuruti!!!!
Habari
na Picha kwa hisani ya Image Profession.