(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Waungwana;Mswahili wetu leo si Mwingine ni da'SUBIRA WAHURE. Ni dada Mdogo mwenye mambo Makubwa!!!!! Hizi ni Baadhi ya Kazi zake.Kujua Mengi kuhusu dada huyu ingia;http://subirawahure.blogspot.co.uk/ "Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima
Waungwana; Leo tuangalie Maisha ya Kijijini.......... Jee wewe umewahi ishi kijijini? Nini kizuri unakumbuka na Nini kibaya unakumbuka?..... Jee Unafikiri kwanini Wazungu hupenda kuchukua Matukio ya Vijijini? kwa sababu ni mageni kwao,Wanataka kutusaidi au?. MUNGU Ibariki Afrika,MUNGU Ibariki TANZANI!!!!!!! "Swahili NA Waswahili" Pamoja Sana.
Wapendwa;Natumai Mlikuwa na J'Pili Njema. Kama kuna iliyomwendea Vibaya Pole na Tambua MUNGU yu pamoja nawe na hajakuacha!!!!!!!!! Neno la Leo;BWANA ndiye mchungaji wangu,Sitapungukiwa na kitu.ZABURI:23:1-6. "Swahili NA Waswahili" Mbarikiwe Sana.
Familia ya Mr&Mrs Liberty Msuya inapenda kukualika/kuwaalika katika misa ya arobaini ya mama yao mpenzi; BULUNGU. (RIP) . Itakayofanyika Jumamosi tarehe 15/12/2012,saa 8:oo Mchna[2:00pm]. katika ukumbi wa; Henley Green Primary School/Community Centre, Wyken Croft CV2 1hq. Dress code black, white, or purple. Kwa Mawasiliano Zaidi;07405389488[da'Mamie Msuya] Ukipata Ujumbe huu wajulishe na wengine. Asanteni na Karibuni Wote.
Wapendwa; nawatakia J'Pili yenye Neema,Baraka,Amani na Upendo. Tena ndugu zetu,twawaarifu habari ya Neema ya MUNGU,Waliyopewa makanisa ya Makedonia; Neno La Leo;2Wakorintho:8:1-15;Maana walipokuwa wakijaribiwa kwa dhiki nyingi,wingi wa furaha yao na umasikini wao uliokuwa mwingi uliwaongezea utajiri wa ukarimu wao. "Swahili NA Waswahili" Mbarikiwe Wote.
Waungwana;"Chaguo La Mswahili Leo" Mmmmhhhh Motooo Afrika Mashariki Na Kati..... Wewe tuu utuambie Video ipi imekubamba/kuipenda? Kwa nini? Karibu sana....Swagger Swagger Swagger........... "Swahili NA Waswahili" Motooooooooo.
Waungwana;ni Bwana na Bibi Mungo'ngo' sasa...... Picha za pamoja na Wazazi,Ndugu,Jamaa na Marafiki. Bwana na Bibi Mungo'ngo' wanasema Asanteni woote, kwa Maombi/Sala,Michango,Kujumuika na katika Yooote. Hawana cha kuwalipa bali ni kuwaombea kwa MUNGU awaongezee pale palipopungua na awalinde kila iitwapo Leo......... Mtawasamehe kama kulikuwa na makwazo/kukosea,Haikuwa kusudi lao. kwani Binadamu hatujakamilika. Wanawapenda Wooote!!!!!!!!! Timu Nzima ya "Swahili Na Waswahi" na Wapenzi/Wadau Tunawatakia Masiha Mema. Pamoja Daima.