Mwenyewe da'Naomi Nyembo.. |
Ahhh..ndiyo nina miaka 5........ |
Mapothii na Rafiki..... |
Urafiki hauchagui Rangi,Utaifa, Dini wala kabila..mbele za MUNGU wote ni watoto wake.... |
Zawadi kwa Wapendwa Marafiki na Wanafunzi wenzie..Tujifunze kushirikisha watoto katika Utoaji na si Kupokea tuu. |