Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 14 April 2013

Nawatakia J'Pili Njema;Burudani-Mke mwema!!!!!




Wapendwa muwe na J'Pili Njema na Amani,Upendo,Fadhili,Shukrani,Baraka,Furaha...

Naye alipowaona makutano,alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi,Wanafunzi wake walimjia;

Neno La Leo Mathayo Mtakatifu:5:1-12.Heri masikini wa roho;Maana ufalme  wa Mbingunini wao.Endele.....


"Swahili NA Waswahili" Amani na Upendo.

Siku kama Ya Leo Da'Phoibe Alizaliwa!!!!!




Waungwana Siku kama ya Leo dada yetu Kipenzi PHOIBE Alizawali.

Ujumbe wake hapo chini;

AHSANTE SANA MWENYEZI MUNGU KWAKUNIPA UHAI HADI SIKU YA LEO. SIO KAMA MIMI NI MWEMA SANA ILA UNAMAKUSUDI YAKO YA KUNIWEKA HAI HADI SIKU YA LEO. NAKUSHUKURU SANA MUNGU WANGU, MAMA YANGU WEWE NDIYE ULIYENILETA DUNIANI TAREHE KAMA YA LEO MIAKA 43 ILIYOPITA, NAKUSHUKURU SANA MAMANGU MPNZI NAKUTAKIA MAISHA MAREFU SANA. KWAKO WEWE BABANGU KIPENZI JP NAKUSHUKURU SANA KWAKUNILETA DUNIANI INGAWA SIKU YA LEO HAUPO NAMI. NAKUOMBEA SANA BABANGU NAKUMISS SANA. R.I.P MY DAD. AHSANTE SANA MUNGU KWA MEMA YOTE UNITENDEAYO.


Nasi tunakutakia kila lililojema,Baraka,Amani,Furaha na Maisha marefu kama bibi Mwanapenza......

         "Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

Saturday, 13 April 2013

Chaguo La Mswahili Leo;Joto Hasira - Lady Jay Dee ft Proffesor Jay New na Nyingine Nyingii!!!!!!!

Mhhh ...hili Joto Hasira..Upepo hakuna....Naruka Mwenyee..nasioni maana ya sisi kuzinguana..kila mtu anajua sana..

Mhhh sikiliza mwenyeweee...Muungwana

Usiusemee Moyo wa Mwenziwako ooohhh.
Mmhh pole  kwa Wanawake wote wanaopitia haya.....
Mhhh...Wameanza tenaaa  oohhh ...Hadithhhh  hadithiiii njoo utamu koleaaa..wanok..nok..
Njoo tu dance njoo dance...

Mhhh......jay Dee mwisho...mmhhh..
Machoni kama watu Moyoni...hawana Utu.Imani imetoweka mabaya yanaongezekaaa..
Mhhhhh..usimpe nafasi.......

Endelea kuburudika na kwenye nyimbo kuna mengi ya kujifunza pia..
Huyu dada mimi huwa ananikosha/napenda sana Nyimbo zake na hata baadhi alizoshiriki..
Huwa sizichoki hata za zamani..nikipata muda nazipitia za Zamaniiiii...
Vipi wewe Muungwana JIDE Anakubamba/kupenda?Katika hizi za Leo ipi imekugusa?

Endelea kuburudika.......

"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima

Friday, 12 April 2013

Wanawake na mitindo;Lazima uwe Shoshoo Classy!!



Waungwana; Mjumbe hauawi..Mambo ya Urembo..kunamsemo unasema Ukitaka UZURI lazima UZURIKE....
[Hata kama Mzee usiitishe  ule Uzee  lazima uvae vizuri ukawe poa ukawe SHOSHOO CLASSY]!!!!!

 Hahahahaha..Unalo la kuongezea?
 kujua zaidi Mambo ya Mitindo na Urembo Ingia;http://mitindoafrica.blogspot.co.uk/

Shukrani;NTVKenya

                        "Swahiii Na Waswahili" Pamoja Sana.

Wednesday, 10 April 2013

Unahitaji Logo[Nembo]? Wasiliana na 99graphix!!!!!!






Ili uweze kufikia malengo yako ya kibiashara, unaweza kuwasiliana na 99graphix wabunifu wa aina mbali mbali za logo (Nembo). 99Graphix Design Email: 99graphix@gmail.com http://99graphixdesign.blogspot.com/


au unaweza kuwasiliana nami kwa;Email;rasca@hotmail.co.uk

"Swahili na Waswahili"Pamoja Sana.

Sunday, 7 April 2013

Tumalizie J'Pili hii kwa Heri na Baraka;Burudani-Nkinga NCC Christian Choir Tanzania;Katika Viumbe vyote na nyingine!!


Wapendwa tumalizie J'Pili hii..kwa Kheri,Baraka,Amani na upendo......
Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki;Wala hakusimama katika njia ya Wakosaji.

Neno La Leo;Zaburi;1:1-6.Kwa kuwa BWANA  anaijua njia ya wenye haki,Bali njia ya wasio haki itapotea..

        " Swahili NA Waswahili" Mbarikiwe Sana.

Friday, 5 April 2013

Mswahili Wetu Leo;Joseph Mfugale- Toka fundi seremala mpaka kumiliki Peacock Hotel!!!!!!!

I

Waungwana,Safari ya Maisha ni ndefu sana..Kuna Mabonde na Milima..Kuna Shida na Raha..
Hebu Leo Tumsikilize mzee MFUGALE.

Jee kuna lolote umejifunza?

Shukrani;PAUL MASHAURI

"Swahili NA Waswahili" Pamoja Sana.