Umeshapata Ticket yako? unangoja nini? hazitauzwa malangoni!!!
Mhhh..Wacheshi,Watanashati..ndiyo hao Tano Ladies.....
Mikakati zaidi ili wewe upate Raha nasi Karaha...bibi eehhh.
Wanasema Shughuli Uwanja/Ukumbi..ndiyo huo wakujimwaga zaidi....
Wasikilize wenyewe wasemaje?
Pia unaweza kuwapitia https://www.facebook.com/pages/TANO-Ladies
Kuona wanapendezaje zaidi nipitie;http://mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Sana.