(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Wapendwa;Tumalizie J'Pili hii kwa Amani na Utukufu tumrudishie MUNGU..Ee BWANA,Kutukuza usitutukuze sisi,Bali ulitukuze jina lako,kwa ajili ya fadhili zako,kwa ajili ya uaminifu wako. Neno La Leo;Zaburi:115:1-18. [17]Siyo wafu wamsifio BWANA,Wala wowote washukao kwenye kimya[18]Bali sisi tutamhimidi BWANA,Tangu leo na hata milele. "Swahili NA Waswahili"Mbarikiwe Sana.
Waungwana Siku kama ya Leo Da'Upendo Alizaliwa.. Tunakutakia kila lililojema,Maisha marefu,Amani,furaha,Baraka na Mafanikio.. Da'Upendo Shabiki mkubwa wa SIMBA!!!!Iwe mvua/jua/baridi/joto..YEYE na SIMBA TUU. "Swahili NA Waswahili"Pamoja sana.
Familia ya Isaac,Tunamshukuru sana MUNGU kwa YOTE!! Tunamtakia kila lililo Jema,Maisha marefu yenye Amani,Baraka,Upendo,Shukrani ,Utu wema, Awe Kichwa na si Mkia... Awe Baraka Kwetu na Jamii Pia.
Na Iwe kama Tulivyo NENA.
Shukrani kwa Ndugu,Jamaa,Rafiki kwa kumtakia kheri/Maombi na Kuungana nae katika Siku hii Muhimu Maishani.
To inspire,Motivate one another,to Advertise and Introduce your Business to Learn and Support each other in......
Accessing education and employment. Improving marriage and family relationship, Problems facing teenagers,Teenage sex and Pregnancy. Awareness on signs of misuse of illegal substances on teenagers. FASHION SHOW BY OUR COVENTRY DESIGNER MIJA And many more. ENTRANCE: £:10, Including snacks,drinks will be sold at the bar. For Advance tickets Call; [07500 87 53 94]/ [079 51 58 36 22]/ [079 50 19 87 03.] DRESS CODE: AFRICAN ATTIRE[KITENGE OR ANY]
AND NOT FORGETTING THE BODY SHAKES!!!!!!!!MUSIC WILL BE THER!!!
Wapendwa; Tumalize J'Pili hii kwa Imani,Ushindi na Upendo wa Kweli... Lakini sasa,BWANA aliyekuhukumu,Ee Yakobo,yeye aliyekuumba,Ee Israel,asema hivi,Usiogope,Maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu. Neno La Leo;Isaya:43:1-19;Tazama nitatenda neno jipya;sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa?Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani. "Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe wote.