Bibi Na Bwana tukielekea kuungana na Wapendwa katika kazi jamii/kujitolea
Mama Mchungaji na mimi Tukifurahia mambo yanavyokwenda sawa..
Tukisaidiana kuweka mambo vyema
Dada huyu yeye ni mbunifu wa vitu vya Asili,Mikufu,Bangili,Hareni na vinginevyo..
MUNGU amemjalia kazi za mikono yake..basi hutoa kwake/kurudishia yeye pia.
Kulikuwa na Michezo,Zawadi mbalimbali
Mchungaji na Mama Mchungaji Waliwashukuru Watu wote kwa kufanikisha jambo hili |
Hahahahahha maneno ya Mchungaji Rachel nimepoziii... |
Wapendwa/Waungwana Bibi na Bwana Isaac;Siku kama ya Leo tuliungana pamoja Kuwa Mwili Mmoja.
Tunamshukuru sana MUNGU kwa kutufikisha hapa.Pasipo yeye sisi si kitu.Azidi kuongoza katika safari yetu.
Shukrani Familia zetu,Ndugu,Jamaa na Marafiki katika Yote.
Shukrani Hebron Church
Kwapicha za watoto na Michezo,Tukutane;http://Watotonajamii.blogspot.com
"Swahili NA Waswahili" Tunawapenda wote.