(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Baby Shower ya Da'Lina[Mama Nicole] Iliyo fanyika Covenrty,UK. Iliunganisha watu/Wanawake kutoka miji mingine hapa U.K. Da'Lina Wanawake wa Coventry na wenzao kuotka sehemu mbalimbali wanakutakia kila lililo jema katika Safari yako,MUNGU azidi kukubariki,kukusimamia katika Yote. Hongera sana na kila la kheri. "Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.
Wapendwa katika Kristo Yesu, tunakaribisha wote walio miji jirani kuhudhuria kongamano hili kubwa lenye baraka, Kutakuwa na wahudumu mbali mbali watakaoshiriki na kufundisha kuhusu Ukuu wa Mungu, walete watu wenye mahitaji mbali mbali nao wataenda kuguswa na Nguvu za Mungu. Chakula kitakuwepo,
Watakaosafiri na kutaka Maelekezo jinsi ya kufika tafadhali wasiliana nasi
Tumalizie J'Pili hii vyema na Amani.....MUNGU na atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake. Neno La Leo;Zaburi:66:1-7..MUNGU atubariki sisi;Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.