Taste of Tanzania: Modern Swahili Recipes for the West
Monday, 3 February 2014
Sunday, 2 February 2014
Muendelee na J'Pili yenye Amani na Furaha;Burudani-Great Is Thy Faithfulness,It is well with my soul[Chris Rice]!!
Wapendwa/Waungwana,Nimatumaini yangu Mmekuwa/Mnaendelea na J'Pili hii kwa Amani,Furaha na Baraka...
Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako,bali yatafakari maneno yake mchana na usiku,Upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo;Maana ndipo utakapofanikisha njia yako,kisha ndipo utakapo sitawi sana.
Neno La Leo;Kitabu cha Yoshua:1:8

"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.
Thursday, 30 January 2014
Mswahili Wetu Leo; Tupo Kigoma Tanzania na Fundi Khamiss!!!!
Waungwana,Mswahili Wetu Leo ;
Tupo Kigoma kwa Fundi Khamiss,Yeye ni Mshonaji na Mbunifuni.
Jee unamtazamo gani na Mafundi Nguo wa [Mitaani/Vibarazani] kwa sasa,Soko lao linazidi kupanda au Linashuka?
Tupo Kigoma kwa Fundi Khamiss,Yeye ni Mshonaji na Mbunifuni.
Jee unamtazamo gani na Mafundi Nguo wa [Mitaani/Vibarazani] kwa sasa,Soko lao linazidi kupanda au Linashuka?
Haya tumuunge mkono. Unaweza kuwasiliana naye kupitia:Email;Khamiss@gmail.com,Simu,+255 714481790.
Kuona kazi zake zaidi ingia;http://mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/
Kuona kazi zake zaidi ingia;http://mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/
Monday, 20 January 2014
Monday, 9 December 2013
Mheshimiwa January Makamba akihutubia waTanzania DMV
--
*JAMII PRODUCTION*
"Usahihi wa fikra ndio fikra sahihi"
Sunday, 8 December 2013
Tumalizie J'Pili kwa Upendo na Amani;Burudani-Bonni Mwaitege,Fungua Moyo Wako na Nyingine!!!!
Wapendwa;Tumalizie J'Pili hii kwa Wema,Busara,Hekima,Amani,Unyenyekevu na Upendo..
Malaika wa BWANA hufanya kituo,Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa.
Neno La Leo;Zaburi 34:1-12.
Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema;
Heri mtu yule anayemtumaini.
Malaika wa BWANA hufanya kituo,Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa.
Neno La Leo;Zaburi 34:1-12.
Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema;
Heri mtu yule anayemtumaini.
"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.
Subscribe to:
Posts (Atom)