Hatuja chelewa saana,Wapendwa Waungwana..WANAWAKE JUU!! |
Wapendwa; Nawatakia JumaPili Njema, Yenye Kusifu na Kuabudu,Imani,Furaha,Amani,Tumaini,Subira,Uvumilivu,Hekima,Busara na UPENDO!!!!
Wanafunzi waliposikia,walishangaa mno,wakisema,Ninani basi awezaye kuokoka?
Neno La Leo;Mathayo Mtakatifu:19:23-30
YESU akawakazia macho,akawaambia,kwa wanadamu hilo haliwezekani; bali kwa MUNGU yote yanawezekana.
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.