Boniface Makulilo alipokuwa katika Jeshi la Maji la Marekani (Navy) |
Marekani kwa miaka miwili na sasa ni mwanajeshi mstaafu (Veteran)
Amezungumza
na Mubelwa Bandio wa Jamii Production kuhusu maisha yake ya jeshini na
namna ambavyo watu toka nje ya nchi wanaweza kunufaika na mafao yaliyopo
jeshini.
Ameeleza mengi ya manufaa ambayo wengi hatuyajui kuhusu maisha katika jeshi hilo.
Karibu uungane nasi