Happy Mother's Day to all mothers, may GOD bless you. |
Natumaini Jumapili hii inaendelea vyema..
Lakini yanenaje?Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo.
Neno La Leo;Warumi:10:5-15
Tena wahubirije, wasipopelekwa?kama ilivyoandikwa,Ni mizuri kama nini miguu yao wahubirio habari ya mema.

"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana