Waungwana;"Jikoni Leo" mimi huwanafuatilia/Mpenzi Sana wa vipindi vya huyu Bwana..Basi leo nikaona vyema nikusogezee hapa, kama wewe hujapata kuviona Au ulipitwa na hiki au kingine basi upate uhondo kidooogo....
Mwanaume Jiko au?
Mwanaume akipenda jiko/kupika wengi wao wanakuwa wapishi wakubwa na kuwa kazi na yenye kumuingizia Pesa.Lakini Wanawake wengi ,wapishi wanaishia kupikia familia, mitaani/mama Ntilie.... ni wachache sana inakuwa kazi ya Maana/kumuingizia pesa. Hivi ni kwanini?

"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.