Wapendwa Nawatakia JumaPili njema,Yenye,Amani,Upendo na Furaha..........
Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa;Msilaumu, nanyi hamtalaumiwa;Achilieni, nanyi mtaachiliwa;Wapeni watu vitu,nanyi mtapewa;kipimo cha kujaa na kushindiliwa, na kusukwa-sukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu.Kwa kuwa kipimo kile kile mpimacho ndicho mtakachopimiwa............
Neno La Leo;Luka Mtakatifu:6:1-49
43.Kwa maana hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya,Wala mti mbaya uzaao matunda mazuri;44.Kwa kuwa kila mti hutambulikana kwa matunda yake;Maana,katika miiba hawachumi tini,wala katika michongoma hawachumi zabibu.45.Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, Na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu;Kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake.
Suala juu Ya Siku Ya Sabato;1-5
Mtu mwenye mkono Uliopooza;6-11
Yesu anateuwa Mitume kumi na wawili;12-16
Yesu anafundisha na Kuwaponya watu;17-19
Heri Na Ole;20-26
Kuwapenda Maadui;27-36
Juu Ya Kuwahukumu Wengine;37-42
Mtu Hujulikana kwa Matunda Yake;43-45
Wajenzi wa NamnaMbili;46-49
Mhhhhmmmm;Tuache Maneno Yesu yu karibu tena yukaribu sana siyo mbaliiii,Hatujui siku wala saa Ndugu....Lakini dalili zinaonyeshaaa....
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima.