Wapendwa;Natumaini Jumapili inaendelea vyema,Iwe Yenye Imani,Tumaini,Baraka,Furaha na Amani....
Na wale waliotumwa waliporudi nyumbani,wakamkuta yule mtumwa ni mzima.
Neno La Leo;Luka Mtakatifu:7:1-10
Alipokwisha kuyamaliza maneno yake yote masikioni mwa watu,aliingia Kapernaumu.......

"Swahili Na Waswahili"Mbarikiwe Wote.